Habari viongozi. Naomba msaada kwa yeyote mwenye Sheria ya Mipango Miji 2018 au "The Urban Planning Act 2018" anisaidie katika softcopy. Natanguliza shukrani za dhati
kama google umekosa basi haipo! na kama ipo itakuwa haikuhusu! 2018 hakuna sheria mpya ya mipango miji iliyopitishwa! kuna kanunu ndogo ndogo lakini siyo sheria zioizowekwa