Mkuu unayumba mwanzo tu ulipoanza kusema wenye attitude ni vijana ambao hawajaoa na si ndio wanatakiwa kuoa?
Na hakuna namna yakukatisha mawasiliano Kati ya wazazi wawili Kuna shida nyingine lazima waongee wenyewe usiwashiwashi vijana wabichi ambao bado hawajaoa wajiingize matatizoni