Sheria ya insurance kwa TZ ikoje

Sheria ya insurance kwa TZ ikoje

uduzungwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
552
Reaction score
544
Wanajamvi salama.

Naomba mwenye ujuzi kuhusu sheria ya insurance ya gari inapoisha inatakiwa ikatwe tena baada ya kuisha.

Ina mda kdg baada ya kuisha kwa ajili ya kulipia nyingine?

Naomba kuwasilisha.

Hawa wazee wa fedha wanatutesa sana kwa vile hatujui sheria.
 
Back
Top Bottom