i411
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 906
- 297
hii picha ili chukuliwa huko Kenya Masai Mara October mwaka jana, na mpigapicha Denis-Huot
alisema alikuwa anawafuata hawa chita watatu walioachwa na mama yao miezi 18 iliyopita 'Aliwafuata sikumoja asubuhi wakiwa wanacheza cheza katika matembezi yao na walikuwa kama wameshiba. Katika pitapita zao wakawaona swala na wao wakaanza kukimbia. wakawafuata wakashika kiswala kimoja hakiweza kuwashinda kukimbia.
Kilichofuatia yalikuwa maajabu hayo hapo chini lol…..
Alafu hao chita wakaondoka walivyochoka kucheza na huyo kaswala bila kumdhuru