Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,693
Wana bodi
Ni siku kadhaa chama cha CUF kimejiengua kwenye uchaguzi unao tarajiwa kurudiwa hivi karibu..
Lakini hapo mwanzo ndugu jecha ambaye ni mchezaji..refa na kocha.. amesema wagombea ni walewale yaani hakuna mabadiliko yoyote ya wagombea..
Pia cuf wametoa onyo kwa tume ya uchaguzi zenji kuhakikisha katika karatasi za wapiga kura hakuna jina la mgombea wao..
Kisheria hii imekaaje...?? Je tume inaweza kulazimisha kuweka jina lake na likapigiwa kura??