Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
As ante sana. ...Dawa ya waongo ni kuwaumbua tuWewe jamaa ni muongo sana !
Hujui system ya serikali kuu wewe,
Watumishi wote wa serikali makato yao ya NHIF hukatwa automatic kwenye mishahara yao......
Haingii akilini kama mshahara wako umepata then michango yako isipelekwe......
Utaratibu wa NHIF ulo hivi,
Kama mwanachama mchangiaji hata peleka michango ndani ya miezi mitatu,
Ile bima itafungiwa rasmi
Ushauri mwambie huyo mwajiri wako ( utakuwa private sector ) apeleke michango
Huwezi kupata matibabu kama hujangiii mkuu,
Kumbuka huo mchango wako ndo unaolipia matibabu yako hapo ulipo tibiwa,
Najua ume elewa*_
Asante kwa kunisikiliza !
Mkuu mbona Mimi kard yangu naambiwa haijapelekewa michango?Wewe jamaa ni muongo sana !
Hujui system ya serikali kuu wewe,
Watumishi wote wa serikali makato yao ya NHIF hukatwa automatic kwenye mishahara yao......
Haingii akilini kama mshahara wako umepata then michango yako isipelekwe......
Utaratibu wa NHIF ulo hivi,
Kama mwanachama mchangiaji hata peleka michango ndani ya miezi mitatu,
Ile bima itafungiwa rasmi
Ushauri mwambie huyo mwajiri wako ( utakuwa private sector ) apeleke michango
Huwezi kupata matibabu kama hujangiii mkuu,
Kumbuka huo mchango wako ndo unaolipia matibabu yako hapo ulipo tibiwa,
Najua ume elewa*_
Asante kwa kunisikiliza !
-Hivi, kwanini kosa la mwajiri linamwathiri mwanachama ambaye tena kalazimishwa kujiunga na mfuko huo na hana access ya hayo makato?
-Kwanini wasitoe huduma kwanza mengine yafuate? Kwa mtu anayehitaji huduma ya haraka na hana pesa kwa muda huo zaidi ya kadi anafanyaje?
Cwajibii lkn hiyo hospitali uliokwenda ungeiweka hapa tujue maana mavipimo makubwa ndio mara nyingi huwa hawalipii lkn hivi vya Typhoid hapana labda utuambie tenaHawa Bima ni wezi zaidi ya wezi tunaowajua, mimi nilimpeleka mwanangu hospitali, nikaambiwa vipimo vya typhoid vinalipiwa nikauliza uhalali wa kulipia vipimo wakati mimi ni mchangiaji wakasema huo ndiyo msimamo wao na NHIF wanalijua hilo, sasa kama wao ni chama cha wezi wanachukua fedha za watimishi na huduma hawatoi, dawa hawatoi mtaani tunawaona na V8, tulichowakosea ni nini mpaka kutuibia jasho letu?
Ipo haja Rais Magufuli aingilie kati huu wizi ambao na wao wanajua madudu wanayofanya, mbaya zaidi hawaitishi mikutano na wadai kusikiliza kero wanazokutana nazo, wao wamejifungia kurasini wahanga wajijue wenyewe, ukiwapigia simu hazipokelewi, zikipokelewa wanakujibu swali lipo juu ya uwezo wao, je kwanini huyo mwenye uwezo hapewi hiyo simu awe anajibu hayo maswali?
Bahati nzuri sana mimi nimtumiaji wa kadi ya green ya NHIF, Aisee wee jamaa waliokutuma waambie wajipange najua umetumwa tu kama zimwi na hukujishughulisha kufanya utafiti, sijui kama ulijiuliza namna system za huu mfuko zinavyofanya kazi ila anyways uje utuambie aliekutuma au private sector uliopo walioamua kula pesa za mfuko
Cwajibii lkn hiyo hospitali uliokwenda ungeiweka hapa tujue maana mavipimo makubwa ndio mara nyingi huwa hawalipii lkn hivi vya Typhoid hapana labda utuambie tena
kipimo cha typhod kinalipiwa na NHIF .Hawa Bima ni wezi zaidi ya wezi tunaowajua, mimi nilimpeleka mwanangu hospitali, nikaambiwa vipimo vya typhoid vinalipiwa nikauliza uhalali wa kulipia vipimo wakati mimi ni mchangiaji wakasema huo ndiyo msimamo wao na NHIF wanalijua hilo, sasa kama wao ni chama cha wezi wanachukua fedha za watimishi na huduma hawatoi, dawa hawatoi mtaani tunawaona na V8, tulichowakosea ni nini mpaka kutuibia jasho letu?
Ipo haja Rais Magufuli aingilie kati huu wizi ambao na wao wanajua madudu wanayofanya, mbaya zaidi hawaitishi mikutano na wadai kusikiliza kero wanazokutana nazo, wao wamejifungia kurasini wahanga wajijue wenyewe, ukiwapigia simu hazipokelewi, zikipokelewa wanakujibu swali lipo juu ya uwezo wao, je kwanini huyo mwenye uwezo hapewi hiyo simu awe anajibu hayo maswali?
Hiko kituo ulichokwenda hakina uwezo wa kufanya hicho kipimo ndo maana wamekuambia NHIF hailipii maana wanajua NHIF haitawalipa
Mi nawasifu sana NHIF kwa kusimamia viwango vya huduma (quality of services) NENDA KWENYE NGAZI YA HOSPITALI YA WILAYA AU MKOA NA UTAPIMWA KWA KADI YAKO YA NHIF