Wandugu kuna tangazo limetolewa na ofisi ya waziri mkuu linaonyeshwa kwa Runinga kutoa taarifa kuwa trh 9/Dec ni siku ya kuadhimisha kupatikana UHURU wa TANZANIA BARA,Ninaomba ofisi husika irekebishe hilo tangazo na kuweka nchi sahihi kwani uhuru kutoka kwa wakoloni ulipewaTANGANYIKA.