Sherehe za ubingwa live: Ndanda fc vs Yanga SC

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Leo mabingwa wa Tanzania yanga atakabidhiwa ubingwa na mh waziri mwigilu nchemba akisindikizwa na mkuu wa mkoa wa dar es salaam paul makonda
Wadhamin wakuu vodacom na azam tv wamejipanga kusherehesha siku ya leo
1463229740541.jpg
1463229801550.jpg
1463229816525.jpg
 
Kikosi cha yanga.
Dida
Juma abdul
Haji mwinyi
Kevin yondan
Vicent bossou
Kamusoko
Msuva
Niyonzima
Tambwe
Ngoma
Mwashiuya
 
Back
Top Bottom