Mkuu hivyo vyote naweza kuvifanya mm. We to ushauri tu.Nipe namba yake mimi nitajifanya mganga. Nitampa utabiri huo kiasi kwamba atakupa hata ambavyo hajawahi kukupa.
Ila ili aamini vizuri nitatafuta kilinge feki aje nimuague kabisa. Kwa vile nitajifanya nimetoka Kigoma, nitachukua room lodge kujifanya ndipo nilipofikia, full kaniki na manyoya ya kuku. Nakwambia hatochomoka.
Halafu kibingwa, sitokuchaji hata shilingi moja.
Inatakiwa chuma uipake jelly ikae tayari tayari na usicheze mbali mbn analika tu uyoNilimvizia nikakuta kasha vaa chap,, nimeumia sana