Shemeji yangu jamani

Chuchu ziwa konz... OOh! Lakini umejiuliza "MPO WANGAPI" Coz huyo shem wako anaonekana Voucher..
Tena vocha inayotumika kwenye 0713 or 0655
 
safi sana, napenda kuona mkuu manuu anapata mvurugo wa nguvu, najua shetani atakuwa amekutumia updates za mapicha ya kule mahala, ha ha aha ha aha a hahaha a aaaaaaaaaa (nimefurahi mkuu ila naheshimu ofisi yako ya uinjilisti)

ha ha ha Haa

vipi mkuu nimrushie nini yale makitu maana kuna mengine moto moto ndo nimeyapata hapa ila ntahitaji ruksa ya rafiki yangu Excel
 
Last edited by a moderator:
...

Mkuu, endelea na kilichojiri baada ya kuanza safari ya kuelekea club, tafadhali..!!
 
ha ha ha Haa

vipi mkuu nimrushie nini yale makitu maana kuna mengine moto moto ndo nimeyapata hapa ila ntahitaji ruksa ya rafiki yangu Excel

.kama ya leo leo usiyatupie Jukwaa litavurugika, akati mlengwa ni manuu. huyu Excel leo yuko bize sana, hata sielewi kapoteza nini manake karibu kila jukwaa anapatikana.
 
Hahaha kekundu kekundu wajinga ndio waliwao, wewe ulizani amekupa mdogo wake umpeleke disco kumbe alikuwa ana njemba ana ahadi na mlinzi wa nyumba ya jirani aje kujilia mautamu.
 
Aise Manu unanikumbusha mbali,mimi shemeji yangu nimeshamtafuna kama mara nne.Nimeamua kustop manake ikishtukiwa na wife itakuwa soo kali
 
.kama ya leo leo usiyatupie Jukwaa litavurugika, akati mlengwa ni manuu. huyu Excel leo yuko bize sana, hata sielewi kapoteza nini manake karibu kila jukwaa anapatikana.

ha ha ha

nimpotezee huyo manuu ?
 
Last edited by a moderator:
Kama ana ukimwi hapo family mzima yaweza kuvaa.

Jamaa mmoja alikua anatia tia mimba ndugu wa mkewe, na mkewe alikua anatiwa mimba na marafiki na jamaa wa mumewe.

You get that you give.
 
ha ha ha

nimpotezee huyo manuu ?

umpotezee tena!!!!!! yani nakwambia akitupia Season II sidhani kama utapata na nguvu za kumkemea, bora umfumue sasa akati anapanga maneno yake vibaya (vinginevyo nawe utachomolea shati hiyo Season II ikiwa hewani) , si umeona mkuu amu kabisa hajiwezi na Thread za huyu manuu.
 
sijui kama waliweza kurudi nyumbani hawa au walisingizia gari imepata pancha wakaenda kulala hukohuko,mhh!!
 
Basi usimalizie maana itasikitisha sana kujua una ukimwi ambao umeupata toka kwa shemeji yako na kumuambukiza mkeo,wanaume mliooa tulieni na wake zenu.
 
ha ha ha Haa

vipi mkuu nimrushie nini yale makitu maana kuna mengine moto moto ndo nimeyapata hapa ila ntahitaji ruksa ya rafiki yangu Excel

sitaki urafiki na manuu kabisa!!! unajua kijana anajiona mjanja saaaaaana anasahau hao walioenda kusoma uganda walikuja kuaga kwangu nikawa-freight forward kwa kuwa-clear effectively! huyo dem sio wako wewe ndo maana anakuzingua..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…