Shemeji yangu Hana chupi

Weka namba hyo watu wamnunulie bero zima la mtumba
 
Hahahahahaha dah jamaa ni kipofu wa ubongo....mwanamke anaishije bila chupi
 
Nitumie number yake nimnunulie mieHamna tatizo
 

Tena sio ngono tu, huenda jamaa akapewa na kisamvu cha kopo GENTAMYCINE
 
Muuluze akiwa period anasapot vip pedi? Kama haendi period achana nae ni shetan
 
Chupi tu ndio unakuja lalamika....? Kwanza nenda kahakikishe kama hana hizo chupi?
 
Ndo uanamume PICHU una nunua wewe Wanavua wengine..
 
Daah hum ndan burudan sana, nkiwaga bored sana hom naingia hum hasa forum hii kurefresh kichwa
 
Kuna chupi za kambakamba kama BIKINI vile, nimeziona kwenye mall na mlimani city, moja ni 175,000. Naomba namba nimnunulie. Mrembo hawezi tembea bila chupi afu vidume vya kiume tupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…