Shemeji haeleweki jamani!


inabidi tumtengenezee movie ya the lost girl.
 
Mwambie kama na matukio yote hayo bado kagoma kusoma alama za nyakati, basi asubirie tu...its a timed bomb and the clock is ticking
 
Muambie shosti anunue simu mpya aiweke line ampe bwashee. Akiibuka tena anamkabidhi. Afu asisahau kummegea kitumbua.
 
Jamaakaoa huyo.
Msichana ameshaliwa tayari.
Kichwa cha panzi
 
Kwanza una kurupukaje kumpeleka mwanamme nyumbani kwako kirahisi hivyo? Huyo jama keshaona Kama Huyo rafiki yako sie ndio mana akaanzaa kumuanzia vituko, sasa mwambie akamuonyeshe na ATM kuna ngspi ili ampende zaidi...
 
kweli rafikiyo kapenda na anautumia vyema msemo wa kijinga wa mapenzi ni upofu.
 
jamani kusikia hasikii atapicha tu haoni..jamaa akiwa na shida zake anamtafuta akiwa fresh anapotea...ampige chin asije mletea majanga bure....
 
Hivi kwa dalili zote hizo bado hajatambua kuwa huyo ni mme wa mtu?
 

Uko sawa kabisa huyo jamaa kaoa ana mke na watoto kadhaa afu ka vile mkewe alishtukia ka mchezo. Hihihihihihihi
 
Jambo la hovyo hovyo,kijingajinga wengi wakija hapa utasikia rafiki yng anaomba ushauri ila sio wao
 
Nimekushitukia hakuna cha rafiki yako wala nini!hii story inakuhusu wewe mwenyewe!pole huyo ni mume wa mtu!!imekula kwako!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…