Shemeji anazingua

Mtunzi
 
Manifongo alitulia na kutoa visa vya kweli maana wimbo wake unaitwa hainaga ushemeji mnakulaga
 
mim hata sjajua jinsia za hao watu wote kwenye hyo story nzima sjui nan mwanamke nan mwanaume
sema upya au soma aya ya mwisho ila uwe hujanywa Lusekelo
 
Kumnyonyoa kwema shemejio..! Hopeful unaijua dini vyema na kwenda kinyume na maadili si jambo jema
 
sema upya au soma aya ya mwisho ila uwe hujanywa Lusekelo
sidhan kama hapa kuna sehem ina tafsir jinsia

Nafikilia nimfuate ndugu yangu nimpe hii kitu nliyorecord ili aisikilize make amekua akinimind kuwa ni kweli natoka na yule shem na jana tena alivyotumiwa zile sms ndo kanitukana sana ila wazo jingine linaniambia hata nisisumbuke kumsikilizisha hii recording ila nichinje tuu huyu shemeji make kitu cha kusingiziwa kinauma sana na roho yangu imenikubalia nimbanjue kesho ndo anakuja hivyo sasa kesho nanyonyoa manyoya shemeji yangu.
 
kwahyo jinsia ya kike inachinja siku hizi au
 
Yamkini kichwa changu ni kigumu. Hiyo story kuna mwanamke kweli?? Au wote wanaume??
 
Yamkini kichwa changu ni kigumu. Hiyo story kuna mwanamke kweli?? Au wote wanaume??
ulitaka shemeji nmuite dem wa ndugu yangu, sitaki kuwadhalilisha wanawake kwa kuwaita majina mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…