Kyoso Mtambo
Member
- Oct 27, 2014
- 17
- 6
Habari wana JF nina tafiki yangu mmoja hivi ambaye tunaaminiana sana ana mchumba wake ambaye wanapendana sana sasa chakushangaza leo amenipigia simu na kuniambia kuwa mchumba wake anakuja mkoani niliko kwaajili ya kufuatilia cheti chake kwenye shule aliyo soma na anataka nimpokee alale kwangu wakati anajua kabisa kuwa nimepanga nyumba ya chumba na sebule kingine pia huyu shemeji anaonekana kujitega tega kwangu sielewi sijui ni mtego jamaa anataka apime uaminifu wangu hapa nilipo nipo njia panda.
Anakutegaje na hajafika?Habari wana JF nina tafiki yangu mmoja hivi ambaye tunaaminiana sana ana mchumba wake ambaye wanapendana sana sasa chakushangaza leo amenipigia simu na kuniambia kuwa mchumba wake anakuja mkoani niliko kwaajili ya kufuatilia cheti chake kwenye shule aliyo soma na anataka nimpokee alale kwangu wakati anajua kabisa kuwa nimepanga nyumba ya chumba na sebule kingine pia huyu shemeji anaonekana kujitega tega kwangu sielewi sijui ni mtego jamaa anataka apime uaminifu wangu hapa nilipo nipo njia panda.
Mmmh! kwani lawama ndio nn?Kwani tatizo nini?
Mnalala kitanda kimoja ila mnaweka mito katikati mnaassume ni mpaka
Atakayevunja mpaka ndiye atakayeshushiwa lawama
Huyo rafiki yako nae ni bashite.bashite asee
Hata simuelewi amemanisha nini.Kwani tatizo nini?
Mnalala kitanda kimoja ila mnaweka mito katikati mnaassume ni mpaka
Atakayevunja mpaka ndiye atakayeshushiwa lawama
Huyo rafiki yako nae ni bashite.bashite asee
Kaka, huku Dar Magu kabana... So anajua kuwa wewe utalala sebuleni kwenye kochi, na shemejio utampisha kwenye bedi... Onesha ukomavu na ukakamavu kwa hilo. Ila ukizidiwa na mitego, onja kidogo 🙄 ila iwe siri yako...
Naona uko ktk ubora wako wa level za juu za uboyaHabari wana JF nina tafiki yangu mmoja hivi ambaye tunaaminiana sana ana mchumba wake ambaye wanapendana sana sasa chakushangaza leo amenipigia simu na kuniambia kuwa mchumba wake anakuja mkoani niliko kwaajili ya kufuatilia cheti chake kwenye shule aliyo soma na anataka nimpokee alale kwangu wakati anajua kabisa kuwa nimepanga nyumba ya chumba na sebule kingine pia huyu shemeji anaonekana kujitega tega kwangu sielewi sijui ni mtego jamaa anataka apime uaminifu wangu hapa nilipo nipo njia panda.