Shemeji ananiharibia ndoa yangu

Fanya uchunguzi fatilia nyendo zao weka boda boda afuatilie nyendo zao
 
Mkewe ana mdogo ake Malaya mwenye majini amekuja kwake baada ya kutupiwa majini ya umalaya na mumewe anaeitwa iddy, anamwambia iddy aende kumchukua mkewe aliemtupia majini ya umalaya maana anamfunza mkewe umalaya, sasa hujaelewa nini hapo mkuu?
Una uhakika na hicho ulichoandika na kufupisha?
 
Hii sio chai wakuu, jamaa ameongea mambo kutoka rohoni
 
Mbona mnapenda kuwasingizia marafiki zenu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…