Shemeji ananiharibia ndoa yangu

Pelly

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
265
Reaction score
341
Habari zenu,

Nina shemeji yangu kaachwa na mume wake huko Arusha yeye ni mchaga wa kawawa rd na ni wa kike na mumewe anaitwa Iddy yaani hadi najuta kwanini sikusuluhisha hiyo ndoa japo nakiri nisingeweza.

Mdogo mtu ni mke na ni mgonjwa, nikiri katupiwa mashetani maana anaumwa sana kichwa zaidi ya miaka kumi sasa sasa toka aje mke wangu amekuwa akimtoa out japo nami nawatoaga out lakini kama machale yamenicheza mke kazidi nyendo mbaya.

Wanawezatoka wote ukimpigia simu hapokei, ila ukimpigia dada mtu anakwambia nimemuacha nyumbani amelala. Sasa nipo home namuuliza dada wa kazi anasema walitoka wote lakini anakataa dada mtu hapana nilimuacha home.

Jana nikamchana toka umeachwa na mumeo umekuwa mwiba, maana mke wangu amepata mwingine sasa mtakula jeuri yenu, sintotoa pesa ya matumizi nami leo sijatoa pesa.

Tena huko alipokuwepo jana atakuwa kapewa pesa ya kula leo, nami nimehamia kwangu Mbezi. Maana hayo majini yake yatanichelewesha, na ninafanya mpango na watoto nitawakomboa tu na majini. Ila iddy njoo mchukue mkeo Kinondoni Mkwajuni maana huu ni zaidi ya umalaya.
 
Mkewe ana mdogo ake Malaya mwenye majini amekuja kwake baada ya kutupiwa majini ya umalaya na mumewe anaeitwa iddy, anamwambia iddy aende kumchukua mkewe aliemtupia majini ya umalaya maana anamfunza mkewe umalaya, sasa hujaelewa nini hapo mkuu?
Iddy akachukue Malaya zote Mbili, yenye majini na yenye vibwengo.

Kifupi Kijana Iddy hawez rudiana na hiyo jini Mahaba. umefanya vizuri kukimbia nyumba na kuachia Mala*a mgeni amuambukize kibwengo na mwisho Beki 3. pole Mkuu, hii sio nzuri ikikukuta.
 
Hatari sasa ila majini ni mfuga majini Iddy, anatakiwa akachukue majini yake huku yanaharibu ndoa ya watu yanaanza kuambukiza umalaya kwenye familia za watu,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…