Shemeji ana mchepuko ninaoujua, ili aachane nao anataka achepuke na mimi. Anasema ndugu yangu hawezi kazi

Samawia

JF-Expert Member
Dec 6, 2017
594
458
Baada ya kumkuta na njemba fulani analochepuka nalo, akajitetea kwamba ndugu yangu hawezi kazi ndio maana ameamua kuchepuka, ila kama nataka aachane na jamaa basi Mimi niwe tayari kumpa huduma.

Ilikuwa Kama utani vile lakini naona yuko serious ameamua kunitia majaribuni

Ananitumia jumbe Whatsapp na kuzifuta nikimuuliza ujumbe uliotuma unahusu nini ananiambia amesahau alichoandika, yaani naelekea kushindwa na huu mtihani

Chonde chonde akina shemeji popote mlipo acheni kuwatia majaribuni ndugu wa mabwana zenu, mtavunja udugu wao mtajenga uhasama usiokuwa na kikomo
 
Ni Mke wa kaka yako.

Ohh ni demu tu kama walivo madem wengin???


BTW nachotaka kusema hapa, ni wewe kumwambia kaka yako, kua Demu wako anatombwaa nje na mchizi fulan, naushahidi huu hapa.


Utakua umemuokoa kaka yako kama sio wale wanaopenda kwa kutumia Mbooo !!!
 
...si unajuaaaaa mi na ye tuko wawili tu, kaka akijijuaaaaaaaa........kumbe unanitega shemejiiii
 
Back
Top Bottom