Sheme on you people

Kumbesa

Senior Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
113
Reaction score
22
Hivi binadamu nyie mnajithamini ?mnapeleka machotari badala ya kuteuwa miongoni mwa Bantu halisi wa Tz wenye kila sifa za kuwa katika mashindao ya Big brother ,tujiulize vijana wa TZ wenye kuinukia ambao ni wabantu watajisikia vipi ? kwa mara nyengine mmeshindwa kujithamani sasa nani unategema akuthamnia ,na kwa hilo ndio tunawapelekea Ndugu zetu kujichubuwa na kuweka makatani vichwani ,kweli rangi na nywele za singa zina matter.
​
 
Acha ubaguzi Kumbesa. Yeye ni Mtanzania na anayo haki ya kushiriki BBA ili hali awe amekidhi vigezo husika.

Sio Ubaguzi mkuu waswahili wanasema Ukweli Unauma kwanini tuone aibu kujitangaza kuwa sisi ni wabantu weusi Titi katika macho ya Ulimwengu wakati hao machotara hata 1% hawafiki inasikitisha sana ,huku ni sawa na mtu kujikimbia mwenywe akijihisi anatisha na hastahiki chochote kile katika macho ya wengine.
 
mi mwenyewe nashangaa tu mana ukichunguza tangu enzi za mwisho mwampamba utaona tu kwani watu kama kina mpoki si wapo? Mana ile rangi ndo inatuwakilisha haswaa
 
mi mwenyewe nashangaa tu mana ukichunguza tangu enzi za mwisho mwampamba utaona tu kwani watu kama kina mpoki si wapo? Mana ile rangi ndo inatuwakilisha haswaa

Aha haaaa KAMA Mpoki tena!
 
Serikali ilishatoa tamko kuwa haijihusishi kwa namna yoyote na ushiriki wa BBA, sasa sijui kwa nini walalama kuwa inapaswa tujitangaze wakati BBA it's a personal accolade...
 
Mi nadhani huyo amekuwa hivyo kutokana na mazingira.Mbona kabila la ki-iraqw karatu arusha wananywele za mtindo huo tena hata ukiwakuta wanaongea kilugha ni kama wanaongea kiarabu
 
Kawaida yetu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mi mwenyewe nashangaa tu mana ukichunguza tangu enzi za mwisho mwampamba utaona tu kwani watu kama kina mpoki si wapo? Mana ile rangi ndo inatuwakilisha haswaa

rais wetu mwenyewe akiona watu weupe anahaha mpaka anaomba msaada wa walimu sasa na hawa wanafuata hayo hayo
 
Mkuu, Nasikitika ukiendelea na msimamo wako huu, Naona utabaki peke yako hapo nyumbani kwako maana Dunia/Ulimwengu umebadilika na maisha siku hizi ni mchanganyiko wa tamaduni na mila za badilika, Utandawazi upo juu ya kilaNchi yetu kubwa lakini haina maendeleo yeyote kwenye uwanja wa vijana na mapambano katika fani,michezo,elimu,mitindo,nk.Wewe badilika Laa sivyo utabadilishwa bila kutaka. Hao mawazo yako ndiyo yaliyo tuacha nyuma kimichezo na kitaifa Ndo maana tunashindwa na Dola ndogondogo siye hushika nafasi ya chini kabisa na uduni huu unatupa aiyibu!! Nchi yetu ni kubwa na ina idadi watu wengi na vipaji vingi, Lakini kutokana na tabia na mfumo kama wako wakiubaguzi inatuacha nyuma nakushindwa kufika kileleni na kutambulika au kuheshimika kuwa bingwa. Tazama hata mashindano ya mpira hatufiki popote miaka nenda.... Poor mentalities and Discrimination... Tutabaki bottom and last RANK... jameenii tubadilika kwa kusoma yaliyo wanyanyua wenzetu km.Brazil,Ulaya,Asia, nk.
 
Jamaa gani yupo kimya nowadays?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jamani mkiambiwa ana damu ya Uchagani bado itakuwa shida?
 
huyu jamaa mbona yuko kimya sana,yuko wapi nowdays
Mkuu "WEWE NI MGENI HUYAJUI YATENDEKAYO MUYUDA"? Kama upo Bongo fika pale Kinondoni Cemetery ukiuliza watakwambia alipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…