Shemale unataka nini? Unikome!!

Tena Dada kataa kwa nguvu zote ni kitendo kibaya sana hata Mungu hakutuumba tufanye hivyo Swali kwa wanaopenda huo mchezo Je wameshawahi kuona wanyama wanafanyana jike kwa jike au dume kwa dume? Basi uje dhambi yake haina msamaha
 
Hata mimi sijaelewa maana hapa wewe umesema watu wamepukua profile yako nakuchukua namba zako FB sasa sijui kosa la mdau aliyesema hizo habari ungeacha Facebook ni lipi

Chini ndio ukaelezea habari za pm za zamani kidogo
yamenikuta fb na humu pia ndo maana nimekuwa mkali sana naona wanazagaa ovyo.
 
Mmmh.. utata. Jina lako halionyeshi jinsia inakuaje mtu aanze tu kukupm na kukupa ahadi zote hizo? Au ulikua unawaentertain waliokua wanakutafuta mpaka mkafikia huko? Siamini mtu aanze tu kukuambia hizo mambo.
 
Daah ...ukistaajabu ya musa...
Nasikiasikia ila sina uhakika kwamba wanaopenda kufanyiwa hayo mambo wengi wake za watu tena maarufu wengine, kuna mwingine mmama mwenye ndoa yake nasikia kampa kadada kanakomfanyia hio michezo nyumba gari ya kutembelea na benki,akaunt haikauki hata kidogo,mdada alikua anasema mmama hajawahi kuonja raha ya kufika kileleni na kale kautamu,sasa kamuonjesha na kadada kawa chizi, hamtamani hata mumewe
 
Maisha ya sasa yalivyo magumu...kwanini wapuuzi kama hao hawanitafuti?
Pesa nakula na hawapati kitu dadeeeeeki
Hahaha! Nganashe wasubirie wanakufuata PM sasa hivi. Hahahaha
 
mkuu na nyi mnapianza kutongoza mnaanzaga na nitakupa kadi ya benk???????? au mnaanzaga kwa introduction kwanza?
Mmmh.. utata. Jina lako halionyeshi jinsia inakuaje mtu aanze tu kukupm na kukupa ahadi zote hizo? Au ulikua unawaentertain waliokua wanakutafuta mpaka mkafikia huko? Siamini mtu aanze tu kukuambia hizo mambo.
Mmmh.. utata. Jina lako halionyeshi jinsia inakuaje mtu aanze tu kukupm na kukupa ahadi zote hizo? Au ulikua unawaentertain waliokua wanakutafuta mpaka mkafikia huko? Siamini mtu aanze tu kukuambia hizo mambo.
 
ni hatari, binti ushaharibika mapema na mjukuu huwapatii tena wazazi.
 
Nawe umepata shemale umekubali tu akupe dudu tu maana we si mwanamke, mi nililiokota moja mpaka leo wanawake wa kuwaokota sitaki tena
 
Ujumbe umefika bi dada nafikiri watakoma
 
Maisha ya sasa yalivyo magumu...kwanini wapuuzi kama hao hawanitafuti?
Pesa nakula na hawapati kitu dadeeeeeki
hela ni kama ndoano inavyovua samaki ndivyo utakavyoweza kuopolewa
 
aiseeeee inaboa!!!!! unatuma mi PC ya ajabu kha!!!!!!!! dunia imeisha.
Mtumie namba zangu mdanganye mimi ni KE, NB; Jitahidi unitumie hiyo mi PC ya ajabu PM ili nianze ku deal naye, hakika hatakusumbua tena. kwanza yupo nchi gani? Fursa hii siwezi kuiacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…