Sababu ni uhujumu kwa serikali na usaliti kwa nchiAjabu sababu ya kuondolewa kwao inafichwa.
Wamefukuzwa. Yaan lugha iliyotumika hapo ni ya kistaarabu."utumishi umekoma"au wamefukuzwa kazi kwa manufaa ya "umma"?
Kuna tetesi wali "whistle blow "ishu nzito,inayowagusa wakubwa,sasa wameshughurikiwa
Walihujumu nini?? Mbona Paschal alikuwa mahiri kuipigania serkali na chama tawala?? Paschal alianza lini usaliti?? Am shockedSababu ni uhujumu kwa serikali na usaliti kwa nchi
Daaaah ila Shulutete alikuwa miyeyusho sanaMbona Shelutete humtaji kuwa ni ccm dam dam
Yani ndivyo walivyo wapuuzi wachache, wanashindwa kuelewa hizo ni koo tu na nchi ni yetu sote. Yani kuitwa lema ndo tayari ana udugu na lema wa chadema?? Kwani ndugu wa Lema hafai kuitumikia nchi?? Yaan tabuSio kila lema ana uhusiano na lema wa chadema. Lema ni koo tu.
Kabla hujakurupuka faham source yao kwanza
Huyu shelutete alikuwa afsa habari, sijajua kama anaweza kuwa na mamlaka ya kusafirisha wanyama, labda kama wana kosa lingineAlietaka kusafirisha wanyama nje akaja kuzuiwa na waziri wake ni yupi Kati ya hao?
Huyo shelutete ni fisadi mkubwa ni sawa alivyoondolewaShirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetangaza ukomo wa utumishi wa maofisa wake wawili kwa sababu ambazo hazijawekwa bayana.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma, watumishi hao ni Kamishna Mwandamizi wa Uhifadhi, Pascal Shelutete na Ofisa Uhifadhi Mwandamizi, Justin Lema na kwamba utumishi wao umekoma kuanzia Septemba 15, 2022.
“Uongozi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania unaujulisha umma wa Watanzania na wadau wote wa uhifadhi na utalii kuwa waliokuwa watumishi waandamizi wa TANAPA, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi, Pascal Shelutete na Ofisa Uhifadhi Mwandamizi, Justin Lema, utumishi wao umekoma kuanzia Septemba 15, 2022.
“Shirika halitahusika na jambo lolote watakalojihusisha nalo kwa niaba ya shirika,” inaeleza taarifa hiyo ambayo hata hivyo haijabainisha sababu za kukoma kwa utumishi wao.
Mwananchi lilimtafuta Ofisa Uhifadhi Mwandamizi wa Tanapa anayeshughulika na Mawasiliano, Catherine Mbena kujua sababu za kukoma kwa utumishi wa maofisa hao, hata hivyo hakuwa tayari kuzungumzia sababu hizo akidai kwamba shirika halijataka kuweka bayana.
“Tukiwa tunataka kufanya hivyo (kueleza sababu) tutawaambia, lakini for now (kwa sasa) tuna hilo tangazo tu,” amesema Mbena
Shelutete ni mwizi mkubwaWalihujumu nini?? Mbona Paschal alikuwa mahiri kuipigania serkali na chama tawala?? Paschal alianza lini usaliti?? Am shocked
Híi ndo sababu pekee nayoweza amini,,Hawa walizuia kuruhusu vibali vya kusafirisha wanyama uarabuni.Nimeamini ukiwa mwema kwenye hii serikali utaishia kufukuzwa.Sisi wana Tanapa tumeumizwa sana na wazalendo wenzetu kufukuzwa