Halafu kitu cha kushangaza Mzee huyu mwenye fikara FINYU haishi kukaribishwa IKULU, kusema ukweli sometimes nchi yetu inatia aibu katika level za Kimataifa, wewe unategemea nini kama Rais wenu anakuwa na washauri kama huyo mzee Sheikh Yahya?