Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 264
kuna haki za raia? Au huzijui? Mbona viongozi wa kikiristo kimya? Au kwa sababu alietoa kauli ile ni kiongozi wa chama chao?malaria sugu.
Huyo shekhe mkuu wa dodoma nakumbuka alianzisha movement ya kumtetea ghadafi na kutapa wale ni wavuta bangi eti amesoma libya, anaijua na ghadaf ni mtu strong, matokeo yake ndio hayo, anajifanya amesoma sheria libya, anaingilia uhuru na haki za bunge na mbunge.
Dini Gani? Uhamsho nini?
ha ha ha ha Viongoz wa Kikristo wana akili siyo watu wa kukurupuka, watoe tamko kwa lipi?, wao siyo dhaifu kama huyo shekhe wa Dodoma,kuna haki za raia? Au huzijui? Mbona viongozi wa kikiristo kimya? Au kwa sababu alietoa kauli ile ni kiongozi wa chama chao?
kuna haki za raia? Au huzijui? Mbona viongozi wa kikiristo kimya? Au kwa sababu alietoa kauli ile ni kiongozi wa chama chao?
mtu dhaifu kama wewe unakalia udini sisi wanasonga mbele...Jamani John Mnyika anamuonea JK kwa sababu ni muislamu!! siye waislamu tumlaani Mnyika!! Jamani jamani hii kauli inashirikisha ubongo kweli? Nchi imedumaa na watu wamedumaa kiakili oh GOD!!
Nawewe mbona unakuwa mzito kuelewa? jamaa katoa source ya hii habari ni Habari leo, lazima ujue habari leo huwa linatumiwa na Chama gani kwa propaganda pia uende mbali zaidi kujua ni dini gani pia hutumiwa sana na chama hicho kwa Propaganda.
Kwani Askofu peter mwamasika askofu mstaafu wa KKT ni uamsho naye....?
http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/966-viongozi-wa-dini-walaani-kauli-ya-mnyika
Hao viongozi wa dini wametua nchini leo? na kama jibu ni hapana, wana maoni gani kuhusu Lucinde kuanzia Arumeru hadi Dodoma?
wamelifanyinyia nini taifa? Maji hamna, tz maskini, rushwa imejaa. Matibabu ovyooo. Watoto wanabakwa? Hawakurupuki wanakula mali za watz? Kama unataka uwapime kama wapo kwa maslahi yao. Ondosha kodi ya misamha ya kodi yao. Kama hawatatoka kipovuviongozi wa kikristo huwa hawakurupuki. Wameenda shule sio kama wenzetu.
Dini gani?.