Hatari sana sheikh!sheikh Al-Habib Hilal Kipozeo nouma sana hususani akiwa anahadithia maisha ya huko peponi anakuambia mwanaume atakuwa na uwezo wa kuhudumia wanawake 60 na kitu kinakuwa kipo mnara muda wote, aisee sitoikosa hiyo interview yake leo
Ungekubali kuolewa mke wa pili?Mashehe wote wangeubili kama huyu hakika uislam ungekuwa dini ya kila mtu kuikimbilia. Napenda kumsikiliza anahubiri mazuri, rehema uzuri wa uislam. Wengine ni vitisho na kuitana majina mabaya.