Sheikh ambalo
kwetu lina maana ya
mwanachuoni lakini
katika lugha ya
Kiarabu lina maana
ya uzee, utemi,
uchifu, uongoz
nafikiri mpaka hapo imeeleweka kiongozi
Unashangaa nini Mganga kuwa Sheikh?
Mbona wapo wengi tu wa aina hiyo?
Na Sheikh Yahya Hussein hakuwa mganga na mtabiri wa nyota?
jamani pole yao watoto
Sheikh keshawafumua kwa mpigo! Hawa masheikh hawa ni balaa!
Ni kweli mkuu, lakini haya mambo yapo na mifano hai ipo.
Kwanini basi wale Masheikh na Maustaadh wanaofanya mambo ya uganga wa kienyeji wasipigwe ban kwa ajili ya kulinda misingi na maadili ya dini?
Ujio mwema J33, Kama ulivyopenda kujua hapo juu !Mbona mashehe weng na maustadh ni waganga huku mtaani au waatudanganya? Wanaojua tupeni uhusiano uliopo kati ya mashehe na uganga
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
ukishasema ni mganga hawez kuwa shekh,huyo mwandish ana fikra finyu ya uchambuz,alipaswa aandike,Mganga wa kienyeji abaka mabinti mapacha kigoma,ageheshimika,lakin kwa uandishi huo anaonekana si mwerevu wa mambo,
Kwa utaratibu wa Waislam, ni kwamba huyu Shekhe angeongea na wazazi wa hawa watoto angeruhusiwa kuwaoa hata kama wangekuwa na miaka 6 au 9, tatizo yeye hakufuata utaratibu