Kwa yeyote au mfanyabiashara aliyefanikiwa je ni vitabu vipi vya kupata ufahamu au uelewa kuhusu biashara iwe ya kuuza product(bidhaa) au kutoa service (huduma) kwa customers (wateja), au kua RICH.
Ukitoa jina la kitabu basi vema uweka na picha yake.
Nitaanza na hii hapa ya Ben Carson "Think Big"
Pia kama una soft copy ya kitabu chochote unachopendekeza kulingana na mada husika basi sio mbaya uka kiweka hapa wadau tukipakue(download) ili kitusaidie na wengine.
JINSI YA KUFANYA MAAMUZI,think and grow rich
JINSI YA KUTEKELEZA MAAMUZI The greatness guide na the art of war
JINSI YA KUTENGENEZA MASOKO NA WATEJA HOW TO WIN FRIENDS
how mkuu? basi pia tunaomba ushare nasi vitabu vinavyo reflect mazingira ya kitanzania
kuna kitabu nimekisikia leo clouds kinaitwa world of women in tanzania kinazungumzia biashara wanazofanya wanawake tanzania pia kwa ambaye atakipata akiweke hapa
JINSI YA KUFANYA MAAMUZI,think and grow rich
JINSI YA KUTEKELEZA MAAMUZI The greatness guide na the art of war
JINSI YA KUTENGENEZA MASOKO NA WATEJA HOW TO WIN FRIENDS