She need it back, am confused

hivi mleta mada unatoa habari, taarifa , unaomba ushauri au unaturingishia ? mambo ya kuamuliwa na moyo wako unaleta huku jukwaani ili yakitokea yakutokea useme ulipata ushauri kutoka kwa ma great thinkers ? jitambue na ufanye mambo kwa kutumia akili yako sio kiuno chako...............
 

Thnx alot mkuu...so kind...
Nimekuelewa vizuri na mio gon mwa options zako tayar nna jibu.....nafkir kwa ushaur ambao tayar jineshaupata kwako na wengne nadhan niko tayar kufanya maamuzi...

I only need sometym ku-relax kabla cjaamua wat next...

Kuhusu mrejesho usijal mkuu...mjengoni km kawa...
 
Last edited by a moderator:

Umevuru...gwa!!!!!!

Kupitia kushauriwa kwa kawaida mtu anaongeza ufanisi wa maamuz...hata kama tayar nna jibu ila kwa ushaur ambao tayar nimeupata nna uwezo wa kufanya maamuz ya busara zaid ata kama yatakua ya mrengo niliokua nao tangu mwanzo...

Watu wengne banaaa...et apo akirud nyumban watoto wanaita babaaa!! babaaa!! kumbe pumba tupu....anafkiria kwa viganja...pambaaaaaf!!
 
you are welcome mkuu anytime n i wish you all the best.
 
me nadhan ungeenda sehemu ambayo moyo wako unapenda aiseee haya hizi ishu bana!!! tena wahi mapema kabla huyo dada hajakoleza penzi
 


Tukumbushane japo kwa sentensi moja yule wa mwanzo alienda wapi na ilikuwa vp? kama aliondoka kwa wema tu basi bora zimwi likujualo, lakini kama alienda kwa mwanaume mwingine yamemshinda anarudi kwako hakufai ata kwa second, huu ushauri tu akili kumkichwa
 


Ijumaa njema wakuu hahahahahahaha :A S-confused1:
 

Santeee...zakuambiwa tajumlisha na zangu....
 

mkuu kama karudi huko huyo yamemshinda hakufai chondechonde my brother usimfikirie na usimpe nafasi move on, muogope sana mwanamke aloonja pengine na kurudi kwako, comparison zitakuwa nyingi kila kitu atataka ku compare take my note please
 
mkuu kama karudi huko huyo yamemshinda hakufai chondechonde my brother usimfikirie na usimpe nafasi move on, muogope sana mwanamke aloonja pengine na kurudi kwako, comparison zitakuwa nyingi kila kitu atataka ku compare take my note please

Mara ooooh...kumbe ukivua nguo ata sio mnene ee..pambaaaf!!!!
 

ndo uanze kuwaza saiz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…