Need it or need you back?
Sijasoma story yako ya nyuma lkn ni bora umuache huyu wa sasa mapema ili urudi kwa old love wako. Maana waweza msaliti hata kwa hisia kama sio kwa vitendo na hautafurahia mahusiano haya mapya kwani hautaacha kumcompare na old love wako
Rudi kwa unaemuita x..huyo wa sasa mweleze tu ukwel
Coming clean is always the best way. Mwambie hupendi kumpotezea muda au kuja kumuumiza baadaye kwani unampenda sana X wako kiasi kwamba unaona ni vyema kumpa uhuru wa kupendwa na right person.She it back (relationship)...thnx for yhe concern....ila namna ya kumuacha nilienae ndo inanshinda...labda ujikite apo...
Coming clean is always the best way. Mwambie hupendi kumpotezea muda au kuja kumuumiza baadaye kwani unampenda sana X wako kiasi kwamba unaona ni vyema kumpa uhuru wa kupendwa na right person.
Kiukwel kaka hutakuwa hujatenda haki kumuacha huyo wa sasa na hutogundua hlo mpaka pale atakapokusaliti second time kumbuka you feel wat ur girl feel ok,maumiv yk ni yko m2 alikutexa how comes unamuwka akilini,am waiting for the day utakayokuja kulia hapa mara ya pili.
Watu mnapenda kuumiza watu!
Neeeenda bana kwani shiiiing ngaaapi?
Mnaanzisha mahusiano mapya ya nini kama mliyokuwa nayo hamjamaliza biashara?