Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ha haaaa, na ukigundua ana mtu mwingine basi unaumia kwa miaka 7 na hutaki mtu mwingine....... mtani sasa huu ni utaniMtani tunatofautina baina ya mtu na mtu kwenye namna ya kuanzisha kuchipua ule mche wa upendo ndani mwetu...
Kuna wengine wetu hupenda kabla hata ya kuambiwa chochote, yaani kule kuvutiwa na mtu huwa wanakubadilisha na kuufanya upendo
rafiki umenielewa saaana nilichokiandika, yaani kupita hata nilivyojielewa, thanx.Hata mimi ningekuwa huyo msichana nikampata mtu kama wewe, ningeweza kuji-manipulate navyotaka as far as sijioneshi nakukubali kiivo, lazima tu itakukereketa uzidi kunipenda na kunionea huruma ambayo sipaswi kuonewa.
Kwa hiyo shida ni rafiki wa msichana kupendwa na huyo jamaa au? kwani huyo jamaa ndio mara ya kwanza kuingia kwa uhusiano? Kwani huyo binti alikua anajua jamaa kaamua kuwa Fadher nini?
....... na kama labda kaachwa huko ,then kwa kuwa anajua utamshtukia amenyongonyea na yupo heart broken ndio anakuandaa je? Unadhani kuna umuhimu wowote kuelezwa sasa? Miaka yote hio saba ya urafiki si ingekua hata ameshakutania kuna kajamaa amekua akikizimia? Unaonekana muumini mzuri anyway.
Thank you my dear friend......ni hadithi nzuri, na inapendeza masikioni mwa msikilizaji.
miaka 7 iliyopita rafiki? 7!
rafiki nilishasema nafunga mjadala lakini ngoja nikuambie ninachomaanisha.Yees..sio mingi mbona kama unadai kumpenda mtu
rafiki umenielewa saaana nilichokiandika, yaani kupita hata nilivyojielewa, thanx.
ndo maana nikasema huyo dada aseme ukweli, asitafute sympathy kwa stori ya uongo.
sikatai kuwa kawa heart broken, lakini na mtu ambaye hakuwahi kuwa mpenzi wake, tena kwa kipindi kinachozidi miaka 7! hii inanipa mashaka sana
nakubaliana nawe kabisaaaaa, wanaume mna huruma sanaaaaa, hasa mkipenda......Hahahaaa. nyie wadada nyie.. Ni wajanja sana na mnajua kutukamata ...
By the way.. wanaume tuna HURUMA sana. Bahati mbaya huwa mnaitumiaga kwa hasara yetu.
nakubaliana nawe kabisaaaaa, wanaume mna huruma sanaaaaa, hasa mkipenda......
ndo maana namwambia huyo dada aseme ukweli, jamaa atamwelewa tu na kumsamehe, maana jamaa naye inaonyesha anampenda sana mdada tangu zamani.
tunarudi kule kwa mada ya rafiki Kaizer, yeye ni binadamu, hayupo perfect.
hapa sihitaji kuongeza neno...Asante kwa kujua hilo.
Ila bana huruma ipo hata kabla ya kupenda.. Hahaaaaa. Sema sana mtu akiichezea hadi ikaondoka.. mwanume anakuwa si mwanaume tena... Kumrudisha moyo nyuma ni ngumu zaidi.
Aise napenda sana ukweli.. na sipendezwi na mu anayejidai yuko perfect.. sisi ni wanadamu na tunakosea kwa kuamua na pasi kuamua... so nafurahi mtu anaposema ukweli maana inakufanya uweze kumuamini tena.. tofauti na akufiche hadi ugundue mwenyewe. ''Tukisema hatuna dhambi/hatukosei twajidanganya.. wala KWELI haimo ndani yetu''
hapa sihitaji kuongeza neno...
asante sana rafiki
ha haaaa, na ukigundua ana mtu mwingine basi unaumia kwa miaka 7 na hutaki mtu mwingine....... mtani sasa huu ni utani
hii kali......
unaumia kiasi hiki kwa mtu ambaye hata hajakuambia kuwa anakupenda......
hana feelings na wewe kabisaaaa........
hamkuwahi kuwa marafiki, unajiwazia tuuuuu, halafu unasikia anatoka na mwingine basi wewe unachukia kila mtu.......
hapa ukweli nahitaji mwongozo inakuwaje? AshaDii, Mentor, snowhite, Dark City, watu8, Kaizer, Kaunga, gfsonwin, cacico, Asprin, MwanajamiiOne, Ennie, Heaven on Earth, Tized, Ablessed
mtani, hapa mimi naona ni usanii tuuuuuuuu, shtukaHahah!!
Mtani kuna watu wana mioyo ya plastiki, hii ya kwetu ya chuma hawaiwezi
ha haaaa, ni bora sijioni kama mchawi hapa..... maana naona usanii mtupuhata mimi nimewaza kama wewe! unaumiaje kiasi hicho kwa mtu ambaye hamjawahi kuwa wapenzi, wala hajawahi kukutamkia kama anakupenda? wangekuwa wapenzi halafu akaachwa si angejinyonga.... maana kwenye huo wkt wa olevel sijui Alevel, nafikiri wengi tumepitia kwenye kuvutiwa na kijana ambaye inawezekana hata hamjawahi kusalimiana.
nafikiri binti kuna kitu hajaweka wazi, inawezekana walishakuwa wapenzi halafu binti akatoswa, ndo anaugulia maumivu mpaka leo.
mtani, hapa mimi naona ni usanii tuuuuuuuu, shtuka