mchaga wa wapi? ili nikupe njia ya kudeal naeHuyu binti ni 'mchaga'
HILI NAWEZA KULIFANYA!na tulikubaliana hivyo,lakini sasa naona amenibadilikiaBasi mfungulie mradi mkubwa au mpe pesa ya kutosha atulie!
Kikubwa mbembeleze kwa akili..na taratibu!!
sasa hili kaka ni gumu,na zamani walitumia huo ubabe kwasababu mtu alikuwa anaweza kuoa wake hata kumi akitaka.sasa hivi kuna UKIMWIZamani ukimbebesha binti mimba ni lazima unamwoa..hata kama hampendi..mtapendana mbele kwa mbele!
Huyu binti ni 'mchaga'
Najua nilikosea,lakini pia sio rahisi kulazimisha kuishi na mtu ambae humpendi,kwa sababu sitakuwa mwaminifu kwake,na hata akilazimisha tutakaa nusu mwaka tu then tutaachana.
waungwana mnisaidie nimweleweshe vipi huyu mzazi mwenzangu kwamba mapenzi hayalazimishwi?
TAFADHALI
lol sasa mkuu wakati unailowesha mule ndani ulijua hawezi kuwa mkeo? una test zali kavu kavu?huyu ni mchaga wa rombo-tarakea
mchaga wa wapi? ili nikupe njia ya kudeal nae
Huyu binti ni 'mchaga'
Huyu binti katika ujana ujana ule ilitokea akaconceive
Huyu binti alitaka kutoa mimba nikamsihi sana asifane hiyo dhambi,nilimwahidi kwamba nitamlea mtoto,HILO TU!
Huyu binti,alijifungua mtoto a kike,mtoto sasa ni mkubwa kwa 3yrs,sasa imefika mahala nahitaji kuendelea na maisha yangu AMEKUWA MBOGO
Sikuwahi kuishi nae,na wala kushirikiana nae baada ya ile mimba.Na sikuwahi kutoa ahadi za ndoa pale,lakini AMEKUWA MKALI nilipomwambia sasa ninaendelea na maisha yangu nina mchumba na ninahitaji kuoa.
Amenitishia kuniletea vurugu ofisini,sasa mimi inanisumbua kichwa.ilifika mahala nilitamani nihame dar.
Najua nilikosea,lakini pia sio rahisi kulazimisha kuishi na mtu ambae humpendi,kwa sababu sitakuwa mwaminifu kwake,na hata akilazimisha tutakaa nusu mwaka tu then tutaachana.
waungwana mnisaidie nimweleweshe vipi huyu mzazi mwenzangu kwamba mapenzi hayalazimishwi?
TAFADHALI