what did you say again?
She is butifu, luku lichi, but homulesi
Hamkufundishwa Ing'ilandi nyie?
She is butifu, luku lichi, but homulesi
Hamkufundishwa Ing'ilandi nyie?
Nilikutananae mara moja...lakini huwezi amini hadi leo namfikiria.!
bootyful... oh yeah!
hili jukwaa hili linahitaji general maintanance kwa kweli...
nahisi oil na grease zimeisha, tyre nazo zinakaribia kupasuka! tutafika kweli malaysia?
bootyful... oh yeah!
hili jukwaa hili linahitaji general maintanance kwa kweli...
nahisi oil na grease zimeisha, tyre nazo zinakaribia kupasuka! tutafika kweli malaysia?
Ndege itaishia kwenye bahari ya hindi tuangalie vyema
MH370 ya MMU imepotelea huku
bro nimeingia jf b4 u
b4 u unamaanisha ulikuwa mbele ya muuza ubuyu afu yeye akawa nyuma yako? ?
Basi toa post za kuonyesha umkomavu na GT wa JF! Post zako zi reflect umri wako ndani ya JF!
then jifunze c kila unaemuona jf ni waleo take care!