She can't even text a well written and easily understood sms..gosh!!



hapa tatizo kubwa ni wewe ambae pamoja na umri wako mkubwa na kingereza chako cha mafungu, unashindwa kumwelewa huyu mwenye uwezo mashaka wa kuchanganua mambo. aidha umeshindwa hata kumuelezea hapa, ukapata sentensi tatu tu za kumwelezea, hii ni ishara wewe ndo unamuangusha.

chukua muda uijue historia yake - ki shule na kiafya pia, itakusaidia kujua chanzo ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…