Shauri yako!!!

B.4really

Senior Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
199
Reaction score
89
Salaam wana mmu,najua mnaweza kushtuka na heading lakin ndio hvyo juzi nlikutana na ulokuwa mchepuko wang miez 3 iliyopita..basi ndio tukawa tumekubaliana tukutane usku huo kwa ajili ya kukumbushia mchezo bt ilipofka time ya kuanza mavituz nikamuuliza mwnzang vp nivae mpira akajibu eee bt kakubal vle akijua sina coz tulizoea kula pp bila maganda be4 ..ndio nilivochukua akawa kama yuko dissapointed kwa kile kitendo na kuguna na kusema nilifikir huna shauri yako!!!
yan tokea hyo juzi usiku pamoja na kutumia mpira ila nawazia yale maneno ya huyu dada basi tu.
 
Bado anakipenda, nafsi inamsuta kukupoteza kwani ulisoma toka umeachana nae mpaka siku hiyo ametembea km ngapi?
 
mtoa maada unaweza ukajibu kwa nini upo duniani mpaka sasa coz mtu anaejitambua hawezi kuja hapa kwa maada za ajabu kama hizi itendee haki akiri yako kwa kuipa wajibu wa kufikiri zaidi ikishindwa kutoa jibu iwajibishe
 
mtoa maada unaweza ukajibu kwa nini upo duniani mpaka sasa coz mtu anaejitambua hawezi kuja hapa kwa maada za ajabu kama hizi itendee haki akiri yako kwa kuipa wajibu wa kufikiri zaidi ikishindwa kutoa jibu iwajibishe

readableee..ila maamuz mengine bila kufikiria yanaweza yakawa kama bunge la tz mkuu..
 
Punguza mzigo mbele ya mungu wako
 
Mbona hili saga liko kama la kilaini na kauli ya "mimi kazi yangu kupokea kama wameiba shauri yao..!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…