madam iq yako iko juu sana,,
mimi pia hua nashangaa sana wakati mwingne
yan kama kuna mdau kaleta habari ya kuhuzunisha tuseme kama ya kifo iv,mtu akilike ile thread au ile habari eti anahukumiwa kwamba kafurahishwa na ile habari had kaamua kuipa like kitu ambacho its soo nonsense,,mtu anakua amelike kwa kuguswa kwake kwa kuipata ile habari na sio kma kafurahishwa na taarifa ile ya simanzi,,ieleweke kiivo..