Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
hii nayo ajali au umeamua kumuuzisha jamaa nyago
Muundo wa aina hii wa bus hili unajulikana vipi kitaalamu? na una faida na hasara gani?
hua anabadilishaga kila siku ww vipi..............Ngoia nikae mbele niwai shoo men.si unajua yaani oooh mama.ajali hainakinga rudi tanga kapumue men au kama vipi parisi.kwaiyo men plasta umebandika ileile au zimeongezeka.pole sana baab.pole baab.
asante kuni laikia sharo wangu ................vp mkuu una contact zake unipe nimsomeshe mistar inaweza kua bahati yangu who knowzI like this Sharo Milionea guy.
Ila hizi ajali hizi....haya ngoja nibaki nayo moyoni tu yale nnayotaka kusema!
asante kuni laikia sharo wangu ................vp mkuu una contact zake unipe nimsomeshe mistar inaweza kua bahati yangu who knowz