Mimi sioni kwanini nikatae kumsaidia mtu ambae anahitaji msaada kwa kitu nnachokijua au ambacho kiko ndani ya uwezo wangu. Mtu anaandika anauza program ya kuconvert video to mp3 is that fair? Wakati zimejaa kwny net tena free. The most expensive software ninayo ni adobe cs5 extended inauzwa more than 6000usd , na fifa12 reloaded, nimezipata bure kwa nini niuze? Au mtu unajua kitu lakini mgumu kuwafundisha wenzake mpaka apewe hela. Duh? Hela huja baadae guys. Kuweni na spirit ya kushare
KWeli inabore sana, kwanza ukitazama karibu wote hapa tunatumia operating system fake unless iwe imekuja na kompyuta bure, na kuhusu huyo anayeuza program ya kukonvet video ni new in this industry, angekuwa kawah hata kutumia torrents angejua bila watu ku seed duniani kusingekuwa na torrent, so kama vipi tumpotezee tu.
Nyc post mtoto six, lakini Kila mtu anakula kwa ujuzi wake. offcz sharing is the best way and it enhances relationship. but fikiria ulipokitoa wewe, wewe umekitoa bure? u do pay for internet bandwidth, ryt? i mean no body especially watu wanaosoma vyuoni wana geneiune softwares. Even some companies use pirated copy version of softwares, i have seen it with my own eyes.
Example. May be Alex studied IT and juma Studies Account. offcz these are friends, juma gets money by doing calculation kwenye ofisi while he is not yet employed. Alex is not employed, he stays @home but he has pirated copy softwares? so what should he do? give it for free? or sell??
OR YOU CAN GIVE IT FOR FREE UNLESS
1. HE IS A RELATIVE
2. VERY CLOSE FRIEND
3.PROVIDING DOWNLOAD LINKS FOR THE STUFFS, SO THAT THEY CAN DOWNLOAD ON THEIR OWN
Kuuza ni suaa moja na kuwa honest ni suala lingine. Mimi nauza sana lakii sidanganyai . Nikimtoza mtu hela anajua nimemtoza sababu ya muda wangu labda sababu na yeye hana utaalmu. Sio kwamba nimemumuuzia kitu genuine.
Sasa mtu anamuwekea mtu OS ya window 7 ya mazabe bila kumumbia ukweli tena kwa mbwemwe kuwa ni origianl. baada ya muda end user una update anapata message. You are a victim of Pirated OS..... hapa JF tueshaona hizo.
Mwambie user ukweli ili hata akipata tatizo arudi kwako. Sio User ajue ukweli wa mtu mwingine akuone msanii....