Umewahi kufanya kazi au kwa sasa unafanya kazi chini ya mwanaume au mwanamke tajiri sanaaa? mtu mashuhuri au mwanasiasa wa daraja la juu?
Please share your experience with them.
Mbona hii ni kawaida? Mathalani mtu ni vegan, au hawezi kula chakula cha kila mpishi, au ana mzio wa aina fulani ya mafuta ya kupikia, au ana kinyaa etc.