Share a vision with Lowassa

Share a vision with Lowassa

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,501
Je unauchukia umaskini? Ungependa kuiona Tanzania yenye watu walio na tabasamu muda wote kwa kuwa wanapata huduma ya afya nzuri, chakula bora, maji safi na salama, miundo mbinu ya uhakika, elimu bora na inayopatikana kwa wote?
Basi hauhitaji kumpenda au hata kuhamia CHADEMA bali mchague LOWASSA ili pamoja tuweke malengo yaliyo SMART na mikakati thabiti tuifikie Tanzania iliyo na TABASAMU

VOTE FOR LOWASSA; VOTE FOR YOUR DREAM
 
Back
Top Bottom