KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,154
- 40,949
mi sijakuelewa chukuchuku kiaje.mi najua chukuchuku ni suruali bila mkanda embu nieleweshe maana maneno ya kitaa yamenipita
weeeee kaaa mbali
aiseee kumbeeChuku chuku maana yake ni kugegedana bila zana...yaani nyama kwa nyama ngozi kwa ngozi...jino kwa jino..
angalia tu usifungweHahahahaaa tafanya majaribio siku nikiwa na timu pinzani
angalia tu usifungwe
Bibie upo kweli.??mc yu wewe na mumeo!!
Hongera kwa mmiliki
Hakimu Mimi, mwanasheria Mimi, mzee wa baraza Mimi, mshtakiwa Mimi, pp Mimi, kifungo kitoke wapi hapo???????
asante kaka! wasalimie horombo..
niko poa sweet
Mhhhh!sweet tena au umechanganya mafile yako?