dalili ya mvua ni mawingu
Akha bibie...! Mie na vya watu mbalimbali labda itokee tuu....!
Hahahahaaa halafu ulipotelea wapi wewe miss neddy? I really missed you! Bwt bado nakipenda kivanyio changu aka kijojoleo vya watu kwangu mwiko labda itokee tuu
hii ni lugha ya mafumbo..
mmmh hamna cha situation on the ground, u can still say no to it, but u just choose to be blind and sink inWallah shansarie am Mr clean lakini kuna kitu kinaitwa 'situation on the ground' hakikwepeki, mbaya ni ile pre-planned mission
mi sijakuelewa chukuchuku kiaje.mi najua chukuchuku ni suruali bila mkanda embu nieleweshe maana maneno ya kitaa yamenipitaMtoto kama huyu ukitaka umfaidi umtafune chuku chuku...bila viungo ndio unaipata ladha yake halisi....
Wakubwa wamenielewa...
wanasemaga kinanoga ni kweli?Wako hoi muda huu, 'cha alfajiri' nafikiri umenielewa
weeeee kaaa mbalihuu udongo Mungu aliokuumbia aliutoa wapi? maana ni the finest
braza Kiwatengu plizi usinipige (najua kumtag, ila naogopa ngumi)
umeanza mambo yako, shemeji yangu huyu ananiheshimu sana etidalili ya mvua ni mawingu
Mmh binadamu wa Siku hizi waone hivi hivi unaweza kutiwa jando la pili bila ganzi