Shansarie maashaullah !

mshana jr vipi kaka umewaza nini hadi kunitoa huku maana nimeshtuka kukuta uzi unaonihusu mwanzo nikadhani kipenzi changu ndo kaniweka hewani kuchek vizuri jr lol.ila ahsante kwa kuniona mwaya
 
Last edited by a moderator:
itokee tu ndo nini sasa? we unaonekana mwizi mzuri sana sitaki nataka.

Wallah shansarie am Mr clean lakini kuna kitu kinaitwa 'situation on the ground' hakikwepeki, mbaya ni ile pre-planned mission
 
Last edited by a moderator:
Mtoto kama huyu ukitaka umfaidi umtafune chuku chuku...bila viungo ndio unaipata ladha yake halisi....
Wakubwa wamenielewa...
 
mshana jr vipi kaka umewaza nini hadi kunitoa huku maana nimeshtuka kukuta uzi unaonihusu mwanzo nikadhani kipenzi changu ndo kaniweka hewani kuchek vizuri jr lol.ila ahsante kwa kuniona mwaya

dalili ya mvua ni mawingu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…