alley omar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 277
- 37
Heaven on earth: Una uhakika amekosea?Kiswahili kinakua.Pengine ni neno jipya na ndio maana kaleta mada hiyo ya "shamulio" jukwaa la MMU...!ulikua fasta kupost thread hadi badala ya shambulio we umesema shamulio
Heaven on earth: Una uhakika amekosea?Kiswahili kinakua.Pengine ni neno jipya na ndio maana kaleta mada hiyo ya "shamulio" jukwaa la MMU...!
Heaven on earth: Una uhakika amekosea?Kiswahili kinakua.Pengine ni neno jipya na ndio maana kaleta mada hiyo ya "shamulio" jukwaa la MMU...!
who knows ngoja tumuachie mwenyewe
like like
Heaven on earth, Hakuna cha kumuachia mwenyewe, ni kwamba kama neno halijawa rasmi au hatujatangazia kuingia kwake kwenye vokabulali, basi kakoseawho knows ngoja tumuachie mwenyewe
Shamulio ...........:ban:
dont tell me you want some1 to get :ban:
no no no ......... Halafu idd yoote ukanitenga, ndo nini sasa?
Shamulio ...........:ban:
Babe nimekutafta sana sijakuona.............
i wish uwepo ungekuwepo
Week end ijayo , mapumziko ngoro ngoro au unasemaje .....?