Shamrashamra za harusi zilifana

Setup ya hiyo harusi ipo poa sana.
 
nimeipenda video ya pili........
 
dance yao, nyimbo waliyoichagua .....na kigauni cha binti......

naomba niulize huyo anayecheza nae ni mmewe ?
Ndiyo... ni mmewe, binafsi hiyo video ya kwanza nimeipenda.
 
Jennifer Gray na Patrick Swayze, siyo wapenzi bali walicheza hii video kama wapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…