R Richer JF-Expert Member Joined Jun 9, 2025 Posts 2,115 Reaction score 3,480 Sep 12, 2025 #1 Wamama wa Gerau wameonesha shamrashamra na vibe la aina yake katika uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Jimbo la Nachingwea Shughuli hiyo ilipambwa na nyimbo, nderemo na vifijo, ishara ya mshikamano na hamasa kubwa ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu Your browser is not able to display this video.
Wamama wa Gerau wameonesha shamrashamra na vibe la aina yake katika uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Jimbo la Nachingwea Shughuli hiyo ilipambwa na nyimbo, nderemo na vifijo, ishara ya mshikamano na hamasa kubwa ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu Your browser is not able to display this video.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,786 Reaction score 1,251,505 Sep 13, 2025 #2 Siasa siasani