Anwar2012
Member
- Nov 25, 2012
- 18
- 4
Shamba Zuri, Safi lisikokuwa na visiki 3.5 acres lipo yaleyale puna Kigamboni 40 Km from ferry. Lina kisima Kirefu na maji zaidi ya litres 15,000 per hour. Lina rooms 2 tayari, Vyoo, bafu na store. Irrigation system nzuri sana. Naliuza kwa sababu nimepata shamba kubwa zaidi hivyo siwezi kujigawa. 0768939433 ni check.