Shamba zuri Arusha

marriah

Member
Jun 10, 2016
17
2
Habari zenu wana jamii natumai mko poa .nauza shamba lipo Arusha chini ya moshono maeneo ya mlangarini .shamba hilo lipo barabarani umeme maji vyote vipo Na ni shamba LA eka mbili being ni million 75 hakuna Dalali .nitafute kwa 0759925314 au 0714858167
 
Kila mtu anauza kulingana Na unavyo ona ndio maana siku kutag ili ununue so sorry but wazimu siujui
 
Kila mtu anauza kulingana Na unavyo ona ndio maana siku kutag ili ununue so sorry but wazimu siujui
Use mpole na upokee mtazamo na mawazo ya kila mmoja hata kama ni kinyume na matarijio yako, na ujibu kibiashara, tumia convincing power mkuu
 
Unajua unapo mwambia mtu unawazim jaribu kujiuliza kwanza je huyu nine mwambia haya kuna ubaya alio nitendea .bas nasio kuongea tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom