Lina zabibu?
Bei gani? uwe unamalizia kila kitu kwani mm nina wanunuzi kibao Pia mm nimeletewa Shamba ZUZU jirani na Mizengo Pinda Kayanza lina ekari 6 lina Hati zote za CDA linauzwa milioni 21 linafaa kwa umwagilaji wa maji na hata matone ya kunyunyizia