shamba linauzwa.

vivios

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
244
Reaction score
9
shamba liko Bagamoyo.unaingilia shule ya baobab.kama km2 toka barabarani
ni heka 8
:linakisima kilichochimbwa na machine kwajili ya umwagiliaji
:mabanda yaufugaji
:nyumba ya mlinzi n.k
bei milion 10kwa heka ila ukinunua utalipia na nusu ya garama ya uchimbaji wa kisima kilichopo

unaweza nunua hata heka 4...maongezi yapo.
nichek kwa 0654160092 .
 
sijaelewa nidadavulie shamba heka moja +nyumba ya mlinzi+mabanda ya ufugaji+kisima cha maji=shilingi ngapi?????
 
mbona hamjakataliwa kununua ya bei rahis .mana hiyo ndo bajeti na uwezo wenu.ila shamba langu bei ndo iyo .na siwez bishana na watu wasio na uelewa na ardhi.
endeleeni piga kelele kwenye uzi wenye uelewa wote wamepiga sim.ni hayo tu
 
mkuu mbona hujanijibu pale juu?
 
shamba ni heka 8.kila heka m10.ila bei inapungua kama utakua serious.
shamba lina kisima kilichochimbwa na machine,mabanda ya ufugaji nyumba ya mlinzi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…