Shamba linauzwa

Shamba linauzwa

Refrector

Senior Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
187
Reaction score
118
Habari! Ni eneo la ekari 36 lililopo Kimanzichana karibu na barabar na linamichungwa,mikorosho na minazi bei ni ml.700
 
Jana nimenunua ekari saba kimanzi chana kwa Tsh 3.5 million. Shamba lina sifa zote ulizotaja hapo juu.

Ndio Tanzania yetu inapoelekea mkuu kwenye ardhi.Ukiuliza utaambiwa mjuaji sana.Anyways,embu nisaidie hii kimanzichana ipo wapi? Na ni umbali gani kutoka city centre kwa kukadiria? Natanguliza shukurani
 
kimanzi chana ipo wilaya ya mkuranga. Kwa bahati mbaya siwezi kukuelekeza in terms of kilometres but ukitoka city centre ni mwaendo wa dk 45 hadi lisaa limoja.
 
Mtu anaitamka mil 700 kama sh laki 2, unajua hizo hela ukiwapa wale vijana waliokua pale Taifa wakisaka ajira ya Uhamiaji watafanya kazi kubwa sana ya ujasiriamali...na kuajiri wengine kadhaa..
 
kimanzi chana ipo wilaya ya mkuranga. Kwa bahati mbaya siwezi kukuelekeza in terms of kilometres but ukitoka city centre ni mwaendo wa dk 45 hadi lisaa limoja.

Kaka naomba utusaidie na sisi wengine ndugu yangu na je ni umbali gani toka barabaran hayo mashamba?Je bado wanauza kwa bei kama ulionunulia wewe?
 
Mkuu umejichanganya kwa kuongeza zero mbele. Nadhani ulimaanisha mil 70
 
Hivi wewe unaesema Millioni 700,hiyo hela umewahi hata kuiona au unataja tu?Jua kua asilimia kubwa ya members wa JF including mimi ni walalahoi na wataftaj wa hela sasa ukitaja hela kubwa hatuziwez na heri ukaweke lokopromo ambapo Mengi labda anaweza kumnunulia Klyn au watoto wake ila hapa bei zetu ni za chini
 
Back
Top Bottom