Shamba linauzwa

Shamba linauzwa

Kiroroma

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2009
Posts
370
Reaction score
116
Lipo Mbezi Msumi Kilomita sita kutoka Mbezi Lous Morogoro Road lina miembe na nyumba nzuri ya kufugia yenye ukubwa wa 240m2(sq.m)yaweza kubadilishwa na kuwa nyumba ya kupanga. Lina ukubwa wa Eka mbili na nusu,Liko barabarani maji na umeme viko jirani kabisa.Dalali hatakiwi bei ni 85Mil/= Maongezi yapo.Hati miliki iko kwenye hatua za awali(processing) Mawasiliano 0784 915 252 AU ni PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom