Mkuu sema ukweli kutoka kibao cha Mbuga ya sadan hadi hapo Miono kijijini ni Km3? Na je kutoka hapo kijijini hadi shamba ni km ngap? Kuwa mweli maana kama.mteja ukimpata hamtaishia kwenye simu mtaenda hadi shamba na uongo utabainika kuanzia hapo. Be realistic!